sw_tn/pro/29/25.md

20 lines
414 B
Markdown

# kumwogopa mtu hufanya mtego
"mtu yeyote anayeogopa atakachotendewa na watu ni huwa kama mtego"
# mtego
kitanzi ambacho hukamata wanyam kwa kamba
# yeye ambaye anamtumaini Yahwe atalindwa
"Yahwe atamlinda yule ambaye anamtumaini"
# wengi ambao huutafuta uso wa mtawala
"watu wengi wanataka mtawala wao awajali"
# kutoka kwa Yahwe ni haki kwa mtu
Ni Yahwe anayetaka kuona kuwa watu wanatendewa kwa haki