# kumwogopa mtu hufanya mtego "mtu yeyote anayeogopa atakachotendewa na watu ni huwa kama mtego" # mtego kitanzi ambacho hukamata wanyam kwa kamba # yeye ambaye anamtumaini Yahwe atalindwa "Yahwe atamlinda yule ambaye anamtumaini" # wengi ambao huutafuta uso wa mtawala "watu wengi wanataka mtawala wao awajali" # kutoka kwa Yahwe ni haki kwa mtu Ni Yahwe anayetaka kuona kuwa watu wanatendewa kwa haki