sw_tn/pro/29/15.md

20 lines
458 B
Markdown

# fimbo na maonyo hutoa hekima
"kama mzazi atatumia fimbo kwa mtoto wake na kumuonya, mtoto atakuwa na busara"
# fimbo
Wazazi walitumia viboko katika Israeli kama vifaa vya kuleta nidhamu kwa kuwachapa watoto wao.
# maonyo
kumwambia mtu kuwa jambo analofanya halifai
# makosa huongezeka
"watu wengi watafanya makosa na dhambi za zitakuwa mbaya zaidi"
# anguko la wale watu waovu
"wale watu waovu huanguka" au "wale watu waovu hupoteza utawala wao"