# fimbo na maonyo hutoa hekima "kama mzazi atatumia fimbo kwa mtoto wake na kumuonya, mtoto atakuwa na busara" # fimbo Wazazi walitumia viboko katika Israeli kama vifaa vya kuleta nidhamu kwa kuwachapa watoto wao. # maonyo kumwambia mtu kuwa jambo analofanya halifai # makosa huongezeka "watu wengi watafanya makosa na dhambi za zitakuwa mbaya zaidi" # anguko la wale watu waovu "wale watu waovu huanguka" au "wale watu waovu hupoteza utawala wao"