sw_tn/pro/28/21.md

20 lines
380 B
Markdown

# kwa kipande cha mkate mtu atafanya ubaya
"mtu atafanya dhambi kwa ajili ya kupata faida kidogo"
# fanya ubaya
tenda dhambi
# mtu bahili
"mtu mchoyo" Huyu ni mtu ambaye hapendi kutumia mali au pesa yake kwa ushirika na wengine
# hufanya haraka kutajirika
mtu bahili huwinda utajiri " ni mroho kwa ajili ya utajiri"
# umaskini utakuja juu yake
"ghafula atakuwa maskini"