# kwa kipande cha mkate mtu atafanya ubaya "mtu atafanya dhambi kwa ajili ya kupata faida kidogo" # fanya ubaya tenda dhambi # mtu bahili "mtu mchoyo" Huyu ni mtu ambaye hapendi kutumia mali au pesa yake kwa ushirika na wengine # hufanya haraka kutajirika mtu bahili huwinda utajiri " ni mroho kwa ajili ya utajiri" # umaskini utakuja juu yake "ghafula atakuwa maskini"