sw_tn/pro/28/17.md

32 lines
472 B
Markdown

# aliyemwaga damu ya mtu
"aliyeua mtu"
# mkimbizi
mtu anyekimbilia mbali kuogopa kuogopa kukamatwa
# hadi kifo
"maisha yake yote"
# yeye anayekwenda katika uaminifu atakuwa salama
"Mungu atamweka salama mtu ambaye huenenda katika uaminifu"
# yeye
mtu yeyote ambaye
# anayekwenda katika uaminifu
"huishi kwa uaminifu"
# yeye mwenye njia ya udanganyifu
"mtu ambaye haishi kwa uaminifu"
# ataanguka ghafula
"ataharibikiwa ghafula" au "ataangamia ghafula"