# aliyemwaga damu ya mtu "aliyeua mtu" # mkimbizi mtu anyekimbilia mbali kuogopa kuogopa kukamatwa # hadi kifo "maisha yake yote" # yeye anayekwenda katika uaminifu atakuwa salama "Mungu atamweka salama mtu ambaye huenenda katika uaminifu" # yeye mtu yeyote ambaye # anayekwenda katika uaminifu "huishi kwa uaminifu" # yeye mwenye njia ya udanganyifu "mtu ambaye haishi kwa uaminifu" # ataanguka ghafula "ataharibikiwa ghafula" au "ataangamia ghafula"