sw_tn/pro/28/13.md

36 lines
577 B
Markdown

# huficha dhambi zake
"hufunika dhambi zake "
# fanikiwa
"nufaika" au "endelea"
# yeye ambaye huziungama na kuziacha atapata rehema
"Mungu ataonesha rehema kwa yule ungama na kuziacha"
# yeye ambaye huishi kwa kicho daima amebarikiwa
"Mungu atambariki yule ambaye huishi kwa kicho daima"
# huishi kwa kicho
huishi maisha ya kicho
# kicho
kumheshimu sana Yahwe na kuonesha kwamba unamtii
# mwenye kuufanya mgumu moyo wake
"mtu ambaye huufanya mgumu moyo wake"
# kuufanya mgumu moyo wake
"kukataa kumtii Mungu"
# ataangukia katika taabu
"ataishia kwenye taabu"