# huficha dhambi zake "hufunika dhambi zake " # fanikiwa "nufaika" au "endelea" # yeye ambaye huziungama na kuziacha atapata rehema "Mungu ataonesha rehema kwa yule ungama na kuziacha" # yeye ambaye huishi kwa kicho daima amebarikiwa "Mungu atambariki yule ambaye huishi kwa kicho daima" # huishi kwa kicho huishi maisha ya kicho # kicho kumheshimu sana Yahwe na kuonesha kwamba unamtii # mwenye kuufanya mgumu moyo wake "mtu ambaye huufanya mgumu moyo wake" # kuufanya mgumu moyo wake "kukataa kumtii Mungu" # ataangukia katika taabu "ataishia kwenye taabu"