sw_tn/pro/28/05.md

28 lines
426 B
Markdown

# watu waovu
"watu watendao mambo mabaya"
# hawafahamu haki
"hawafahamu maana ya haki"
# wale wamtafutao Yahwe
wale wanaotaka kumjua Yahwe
# hufahamu kila kitu
"hufahamu maana ya haki"
# bora mtu maskini ...kuliko mtu tajiri
"ni bora kuwa maskini ...kuliko kuwa mtu tajiri"
# aendaye kaika uaminifu wake
"huishi kwa uaminifu"
# ambaye ni mdanaganyifu katika njia zake
"ambaye si mwaminifu katika yale ayatendayo"