# watu waovu "watu watendao mambo mabaya" # hawafahamu haki "hawafahamu maana ya haki" # wale wamtafutao Yahwe wale wanaotaka kumjua Yahwe # hufahamu kila kitu "hufahamu maana ya haki" # bora mtu maskini ...kuliko mtu tajiri "ni bora kuwa maskini ...kuliko kuwa mtu tajiri" # aendaye kaika uaminifu wake "huishi kwa uaminifu" # ambaye ni mdanaganyifu katika njia zake "ambaye si mwaminifu katika yale ayatendayo"