sw_tn/pro/28/03.md

24 lines
380 B
Markdown

# dhulumu
"tendea vibaya"
# kama mvua inayoshesha ambayo haiachi chakula
mtu maskini wenye kudhulumu watu wengine maskini ni kama mvua ambayo hunyesha kwa nguvu wala haiachi mazao ya kuvuna.
# mvua inayonyesha
mvua ya uharibifu
# kuiacha sheria
"kuacha sheria ya Mungu"
# waishikao sheria
"wale wanaotii sheria ya Mungu"
# hupigana dhidi yao
hupingana nao au huwazuia