# dhulumu "tendea vibaya" # kama mvua inayoshesha ambayo haiachi chakula mtu maskini wenye kudhulumu watu wengine maskini ni kama mvua ambayo hunyesha kwa nguvu wala haiachi mazao ya kuvuna. # mvua inayonyesha mvua ya uharibifu # kuiacha sheria "kuacha sheria ya Mungu" # waishikao sheria "wale wanaotii sheria ya Mungu" # hupigana dhidi yao hupingana nao au huwazuia