sw_tn/pro/24/21.md

16 lines
325 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# Hofu
heshima ya kina na utiisho kwa ajili ya mtu mwenye mamlaka
# ni nani ajuaye ukubwa wa uharibifu ambao utakuja kwao wote?
"hapana ajuaye ukubwa wa uharibifu ambao utakuja kwao wote?
# kwao wote
Maneno haya yanamwakilisha Yahwe na mfalme