# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # Hofu heshima ya kina na utiisho kwa ajili ya mtu mwenye mamlaka # ni nani ajuaye ukubwa wa uharibifu ambao utakuja kwao wote? "hapana ajuaye ukubwa wa uharibifu ambao utakuja kwao wote? # kwao wote Maneno haya yanamwakilisha Yahwe na mfalme