sw_tn/pro/24/11.md

48 lines
951 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# wale ambao wanachukuliwa
"wanao wachukua"
# wanachukuliwa
"kokotwa kupelekwa mbali"
# pepesuka
kutemea upande na karibia na kuanguka. Neno hili linaeleza jinsi mtu anavyotembea anavyokokotwa kupelekwa sehemu.
# mchinjaji
"sehemu ambayo watu watauwawa, watawaua kama vile wanavyoua wanyama"
# kama unasema,"Tazama...hili",
Mwandishi anajibu jambo ambalo msomaji anaweza kufikiria.
# Tazama, sisi
"Tusikilizeni sisi ! hatujafanya chochote kibaya , kwa sababu sisi"
# je yeye aupimaye moyo hafahamu usemayo?
"yeye aupimaye moyoanafamu ambacho unasema"
# yeye ambaye
" ni Yahwe" au "Yahwe ambaye"
# aupimaye moyo
"anajua namna watu wanavyofikiri vyema na hamu zao"
# yeye mwenye kuongoza maisha yako, je yeye hajui?
"yeye ambaye huyaongoza maisha yako anayajua"
# Je Mungu hatampa kila mmoja kile anachostahili?
"Mungu atampa kila mtu kile anachostahili"