# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # wale ambao wanachukuliwa "wanao wachukua" # wanachukuliwa "kokotwa kupelekwa mbali" # pepesuka kutemea upande na karibia na kuanguka. Neno hili linaeleza jinsi mtu anavyotembea anavyokokotwa kupelekwa sehemu. # mchinjaji "sehemu ambayo watu watauwawa, watawaua kama vile wanavyoua wanyama" # kama unasema,"Tazama...hili", Mwandishi anajibu jambo ambalo msomaji anaweza kufikiria. # Tazama, sisi "Tusikilizeni sisi ! hatujafanya chochote kibaya , kwa sababu sisi" # je yeye aupimaye moyo hafahamu usemayo? "yeye aupimaye moyoanafamu ambacho unasema" # yeye ambaye " ni Yahwe" au "Yahwe ambaye" # aupimaye moyo "anajua namna watu wanavyofikiri vyema na hamu zao" # yeye mwenye kuongoza maisha yako, je yeye hajui? "yeye ambaye huyaongoza maisha yako anayajua" # Je Mungu hatampa kila mmoja kile anachostahili? "Mungu atampa kila mtu kile anachostahili"