sw_tn/pro/23/22.md

12 lines
360 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# usimdharau
"onesha adabu kwa"
# Inunue kweli, wala usiiuze; nunua hekima, mafundisho, na ufahamu
" Fanya namna yoyote ili uweze kufahamu kweli, uwe na busara, uweze kujifunza namna ya kutenda, ili ufahamu jema na baya; wala usifikirie kitu kingine kuwa ni muhimu zaidi ya haya"