# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # usimdharau "onesha adabu kwa" # Inunue kweli, wala usiiuze; nunua hekima, mafundisho, na ufahamu " Fanya namna yoyote ili uweze kufahamu kweli, uwe na busara, uweze kujifunza namna ya kutenda, ili ufahamu jema na baya; wala usifikirie kitu kingine kuwa ni muhimu zaidi ya haya"