sw_tn/pro/23/13.md

24 lines
525 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# usimnyime mtoto mafundisho
"usipuuze kumfundisha mtoto" au "usikatae kumfundisha mtoto"
# usimnyime
kataa kutoa kitu ambacho unajua mtu mwingine anakihitajia
# fimbo
"kipande cha mti"
# ni wewe unayepaswa kumchapa ... na kuokoa nafsi yake
"wewe ndiye unayepaswa kumchapa...na kuokoa nafsi yake." hakuna mtu mwingine wa kufanya hivyo.
# na kuokoa nafsi yake kutoka kuzimu
"na utamlinda na ulimwengu wa wafu" au " utamlinda dhidi ya kifo"