# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # usimnyime mtoto mafundisho "usipuuze kumfundisha mtoto" au "usikatae kumfundisha mtoto" # usimnyime kataa kutoa kitu ambacho unajua mtu mwingine anakihitajia # fimbo "kipande cha mti" # ni wewe unayepaswa kumchapa ... na kuokoa nafsi yake "wewe ndiye unayepaswa kumchapa...na kuokoa nafsi yake." hakuna mtu mwingine wa kufanya hivyo. # na kuokoa nafsi yake kutoka kuzimu "na utamlinda na ulimwengu wa wafu" au " utamlinda dhidi ya kifo"