sw_tn/pro/23/06.md

28 lines
562 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# mwenye jicho ovu
1) asiyependa kutoa vitu kwa watu wengine au 2) mtu mwovu
# usitamani
"usishikwe na hamu sana kupitiliza" angalia 21:9
# vyakula vizuri
"chakula maalumu na vya gharama" angalia 23:1
# moyo wake haupo pamoja nawe
Hii ni nahau " Kwa uhalisia hataki ufurahie huo mlo"
# utatapiki kile chakula kidogo ulichokula
"utatamani kwamba usingekula kitu chochote"
# utakuwa umeharibu sifa zako
"hataweza kufurahi hata kama utasema maneno mazuri juu yake na chakula"