# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # mwenye jicho ovu 1) asiyependa kutoa vitu kwa watu wengine au 2) mtu mwovu # usitamani "usishikwe na hamu sana kupitiliza" angalia 21:9 # vyakula vizuri "chakula maalumu na vya gharama" angalia 23:1 # moyo wake haupo pamoja nawe Hii ni nahau " Kwa uhalisia hataki ufurahie huo mlo" # utatapiki kile chakula kidogo ulichokula "utatamani kwamba usingekula kitu chochote" # utakuwa umeharibu sifa zako "hataweza kufurahi hata kama utasema maneno mazuri juu yake na chakula"