sw_tn/pro/23/06.md

562 B

Maelezo ya Jumla

Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)

mwenye jicho ovu

  1. asiyependa kutoa vitu kwa watu wengine au 2) mtu mwovu

usitamani

"usishikwe na hamu sana kupitiliza" angalia 21:9

vyakula vizuri

"chakula maalumu na vya gharama" angalia 23:1

moyo wake haupo pamoja nawe

Hii ni nahau " Kwa uhalisia hataki ufurahie huo mlo"

utatapiki kile chakula kidogo ulichokula

"utatamani kwamba usingekula kitu chochote"

utakuwa umeharibu sifa zako

"hataweza kufurahi hata kama utasema maneno mazuri juu yake na chakula"