sw_tn/pro/21/21.md

16 lines
334 B
Markdown

# huupima mji
"hupanda juu ya ukuta unaouzunguk mji"
# mji wa wenye nguvu
"mji ambao mashujaa wanaishi" au "mji wa mashujaa wenye nguvu"
# huuangusha
"huuharibu"
# ngome ambayo huitumaini
"kuta na minara kuuzunguka mji ambavyo vilidhaniwa kwamba hakuna mtu angeweza kuvuka kuingia kwenye mji, hivyo walijiona kuwa wapo salama"