# huupima mji "hupanda juu ya ukuta unaouzunguk mji" # mji wa wenye nguvu "mji ambao mashujaa wanaishi" au "mji wa mashujaa wenye nguvu" # huuangusha "huuharibu" # ngome ambayo huitumaini "kuta na minara kuuzunguka mji ambavyo vilidhaniwa kwamba hakuna mtu angeweza kuvuka kuingia kwenye mji, hivyo walijiona kuwa wapo salama"