sw_tn/pro/21/01.md

16 lines
404 B
Markdown

# moyo wa mfalme ni mkondo wa maji katika mkono wa Yahwe
"yahwe hutawala moyo wa mfalme kama mtu anavyoyaongoza maji kwa ajili ya umwagiliaji"
# moyo wa mfalme
"mawazo ya mfalme na matendo" au" jinsi mfalme anavyofikiri na ambacho anataka kufanya"
# kila njia ya mtu ni sawa katika macho yake mwenyewe
"kila mtu hufikiria kwamba anafanya mema"
# ni nani huipima mioyo
"ni nani atayahukumu mawazo"