sw_tn/pro/20/25.md

28 lines
393 B
Markdown

# ni mtego
"ni hatari"
# kusema kwa haraka
kusema jambo kwa haraka na bila kufikiri kwa umakini maana yake
# kuweka nadhiri
"kuweka wakifu kwa Yahwe" au "kutamka kuwa ni takatifu"
# kuwapepeta waovu
"kuwatenga waovu"
# waovu
"wale ambao ni waovu" au "watu waovu"
# na kuwazungushia gurudumu la kupuria juu yao
"na huwaadhibu vikali"
# gurudumu la kupuria
"mkokoteni wa kupuria"