# ni mtego "ni hatari" # kusema kwa haraka kusema jambo kwa haraka na bila kufikiri kwa umakini maana yake # kuweka nadhiri "kuweka wakifu kwa Yahwe" au "kutamka kuwa ni takatifu" # kuwapepeta waovu "kuwatenga waovu" # waovu "wale ambao ni waovu" au "watu waovu" # na kuwazungushia gurudumu la kupuria juu yao "na huwaadhibu vikali" # gurudumu la kupuria "mkokoteni wa kupuria"