sw_tn/pro/20/11.md

16 lines
346 B
Markdown

# hata kijana anajulikana kwa matendo yake
"watu wanamjua kijana kwa matendo yake"
# mwenendo wake
"matendo yake" au "kwa yale anayotenda"
# safi na adili
maneno haya yana maana moja, yanahimiza jinsi kijana alivyo mwema "safi"
# masikio ambayo husikia na macho ambayo huona
maana yake ni kwamba Yahwe aliumba milango yetu yote ya fahamu.