# hata kijana anajulikana kwa matendo yake "watu wanamjua kijana kwa matendo yake" # mwenendo wake "matendo yake" au "kwa yale anayotenda" # safi na adili maneno haya yana maana moja, yanahimiza jinsi kijana alivyo mwema "safi" # masikio ambayo husikia na macho ambayo huona maana yake ni kwamba Yahwe aliumba milango yetu yote ya fahamu.