sw_tn/pro/20/03.md

20 lines
340 B
Markdown

# ni heshima
"maana yake mtu huyu ataheshimiwa"
# kila mpumbavu hurukia kwenye mabishano
"kila mpumbavu huingia kwenye mabishano kwa haraka" au " kila mpumbavu ni mwepesi kujiunga kwenye mabishano"
# kulima
kuandaa shamba kwa ajili ya kupanda
# wakati wa kupanda
majira ya kupanda
# lakini hatapata kitu
"hatapata kitu cha kuvuna"