# ni heshima "maana yake mtu huyu ataheshimiwa" # kila mpumbavu hurukia kwenye mabishano "kila mpumbavu huingia kwenye mabishano kwa haraka" au " kila mpumbavu ni mwepesi kujiunga kwenye mabishano" # kulima kuandaa shamba kwa ajili ya kupanda # wakati wa kupanda majira ya kupanda # lakini hatapata kitu "hatapata kitu cha kuvuna"