sw_tn/pro/19/11.md

24 lines
558 B
Markdown

# Busara humfanya mtu awe mpole
" mtu mwenye busara ni si mwepesi wa hasira"
# Busara
angalia 1:4
# ni utukufu wake kusamehe
"itakuwa utukufu kwake kusamehe" au "wengine dhani kuwa ni heshima kama atasamehe"
# kusamehe
kusahau jambo kwa lengo
# ghadhabu ya mfalme ni kama ngurmo ya simba kijana
" ghadhabu ya mfalme ni hatari kama shambulizi la simba kijana"
# lakini fadhila yake ni kama umande juu ya majani
"lakini fadhila yake inaburudisha kama umande juu ya majani" au "fadhila yake inaburudisha kama umande juu ya ardhi wakati wa asubuhi"