# Busara humfanya mtu awe mpole " mtu mwenye busara ni si mwepesi wa hasira" # Busara angalia 1:4 # ni utukufu wake kusamehe "itakuwa utukufu kwake kusamehe" au "wengine dhani kuwa ni heshima kama atasamehe" # kusamehe kusahau jambo kwa lengo # ghadhabu ya mfalme ni kama ngurmo ya simba kijana " ghadhabu ya mfalme ni hatari kama shambulizi la simba kijana" # lakini fadhila yake ni kama umande juu ya majani "lakini fadhila yake inaburudisha kama umande juu ya majani" au "fadhila yake inaburudisha kama umande juu ya ardhi wakati wa asubuhi"