sw_tn/pro/19/01.md

20 lines
454 B
Markdown

# bora mtu maskini
"ni bora kuwa mtu maskini"
# ambaye hutembea katika uadilifu wake
"ambaye huishi katika uadiifu" au "ambaye huishi kwa uaminifu"
# ni mpotofu katika kauli
"huongea kwa kupotosha" au "huongea kwa namna mbaya"
# kuwa na hamasa bila maarifa
"kufanya kazi kwa bidii bila kujua unachokifanya"
# ambaye hukimbia haraka sana hukosea njia
"ambaye hutenda kwa haraka hufanya makosa" au " ambaye hufanya haraka hufanya maamuzi dhaifu"