# bora mtu maskini "ni bora kuwa mtu maskini" # ambaye hutembea katika uadilifu wake "ambaye huishi katika uadiifu" au "ambaye huishi kwa uaminifu" # ni mpotofu katika kauli "huongea kwa kupotosha" au "huongea kwa namna mbaya" # kuwa na hamasa bila maarifa "kufanya kazi kwa bidii bila kujua unachokifanya" # ambaye hukimbia haraka sana hukosea njia "ambaye hutenda kwa haraka hufanya makosa" au " ambaye hufanya haraka hufanya maamuzi dhaifu"