sw_tn/pro/18/21.md

12 lines
306 B
Markdown

# mauti na uzima hutawaliwa kwa ulimi
"ulimi unaweza kuongoza kwenda kwenye uzima au mauti" au "maneno ya watu wanayonena yanaweza kuwaongoza kwenda kwenye uzima au mauti"
# kwa ulimi... kupenda ulimi
"kwa maneno ambayo watu huongea ...kupenda kuongea"
# watakula matunda yake
"atapokea madhara yake"