# mauti na uzima hutawaliwa kwa ulimi "ulimi unaweza kuongoza kwenda kwenye uzima au mauti" au "maneno ya watu wanayonena yanaweza kuwaongoza kwenda kwenye uzima au mauti" # kwa ulimi... kupenda ulimi "kwa maneno ambayo watu huongea ...kupenda kuongea" # watakula matunda yake "atapokea madhara yake"