sw_tn/pro/18/07.md

28 lines
470 B
Markdown

# kinywa cha mpumbavu ...kwa midomo yake
"ambacho mpumbavu hunena... kwa kile asemacho"
# ni uharibifu wake
"ataangamizwa"
# hujitega mwenyewe
"atasababisha matatizo kwa ajili yake mwenye"
# maneno ya umbeya ni kama chembe mtamu
maneno ya udaku yanafurahisha kusikiliza"
# maneno ya umbeya
"maneno ambayo mtu mbeya huongea"
# chembe
"vipande vidogo vya chakula"
# huzama katika sehemu za ndani ya mwili
"huingia katika akili ya mtu na kuathiri mawazo yake"