# kinywa cha mpumbavu ...kwa midomo yake "ambacho mpumbavu hunena... kwa kile asemacho" # ni uharibifu wake "ataangamizwa" # hujitega mwenyewe "atasababisha matatizo kwa ajili yake mwenye" # maneno ya umbeya ni kama chembe mtamu maneno ya udaku yanafurahisha kusikiliza" # maneno ya umbeya "maneno ambayo mtu mbeya huongea" # chembe "vipande vidogo vya chakula" # huzama katika sehemu za ndani ya mwili "huingia katika akili ya mtu na kuathiri mawazo yake"