sw_tn/pro/17/27.md

16 lines
254 B
Markdown

# hutumia maneno machache
"husema maneno machache"
# hata mpumbavu hufikiriwa kuwa mwenye busara
"watu hudhani hata mpumbavu ni mwenye busara"
# hufunga kinywa chake
"haongei"
# hudhaniwa kuwa ni mwenye akili
"watu humdhania kuwa ni mwenye akili"