# hutumia maneno machache "husema maneno machache" # hata mpumbavu hufikiriwa kuwa mwenye busara "watu hudhani hata mpumbavu ni mwenye busara" # hufunga kinywa chake "haongei" # hudhaniwa kuwa ni mwenye akili "watu humdhania kuwa ni mwenye akili"