sw_tn/pro/16/25.md

16 lines
344 B
Markdown

# kuna njia ambayo huonekana swa kwa mtu
"mtu hufikiria kwamba namna anavyoishi ni sawa"
# lakini mwisho wake ni njia kuelekea kwenye mauti
ni njia kuelekea kwenye kifo
# shauku ya mfanyakazi hufanyakazia kwa ajili yake
"mfanyakazi hushughulika kutimiza hamu yake"
# njaa yake humhimiza
"huendelea kufanyakazi kwa sababu ya njaa yake"