# kuna njia ambayo huonekana swa kwa mtu "mtu hufikiria kwamba namna anavyoishi ni sawa" # lakini mwisho wake ni njia kuelekea kwenye mauti ni njia kuelekea kwenye kifo # shauku ya mfanyakazi hufanyakazia kwa ajili yake "mfanyakazi hushughulika kutimiza hamu yake" # njaa yake humhimiza "huendelea kufanyakazi kwa sababu ya njaa yake"