sw_tn/pro/16/23.md

464 B

moyo wa mtu mwenye busara hutoa

"mawazo ya mtu mwenye busara hutoa"

hutoa utambuzi kwenye kinywa chake

"hufanya kauli yake kuwa ya busara"

kwenye midomo yake

"yale anayosema"

maneno yakupendeza ni sega la asali

"maneno ya kupendeza ni kama sega la asali"

matamu kwenye nafsi

  1. inawakilisha hamu na shauku ndani ya mtu "tamu kiasi kiasi cha kutosha kumfanya mtu afurahi" au 2) "tamu kwa radha"

uponyaji kwenye mifupa

"uponyaji katika mwili"