# moyo wa mtu mwenye busara hutoa "mawazo ya mtu mwenye busara hutoa" # hutoa utambuzi kwenye kinywa chake "hufanya kauli yake kuwa ya busara" # kwenye midomo yake "yale anayosema" # maneno yakupendeza ni sega la asali "maneno ya kupendeza ni kama sega la asali" # matamu kwenye nafsi 1) inawakilisha hamu na shauku ndani ya mtu "tamu kiasi kiasi cha kutosha kumfanya mtu afurahi" au 2) "tamu kwa radha" # uponyaji kwenye mifupa "uponyaji katika mwili"