sw_tn/pro/16/23.md

24 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo wa mtu mwenye busara hutoa
"mawazo ya mtu mwenye busara hutoa"
# hutoa utambuzi kwenye kinywa chake
"hufanya kauli yake kuwa ya busara"
# kwenye midomo yake
"yale anayosema"
# maneno yakupendeza ni sega la asali
"maneno ya kupendeza ni kama sega la asali"
# matamu kwenye nafsi
1) inawakilisha hamu na shauku ndani ya mtu "tamu kiasi kiasi cha kutosha kumfanya mtu afurahi" au 2) "tamu kwa radha"
# uponyaji kwenye mifupa
"uponyaji katika mwili"