sw_tn/pro/16/01.md

510 B

Mipango ya moyo huwa ni ya mtu

"mtu hufanya mipango katika akili zake"

kwa Yahwe huja jibu kutoka katika ulimi wake

  1. Yahwe hunena jibu lake katika mipango ya mtu -maana yake Yahwe hutambua matokeo ya mipango ya mtu au 2) Yahwe huwezesha mtu kunena juu ya mipango aliyoiandaa.

jibu kutoka katika ulimi wake

"jibu ambalo hunena"

Njia zote za mtu ni safi machono pake mwenyewe

mtu hudhani kwamba kila kitu anachofanya ni safi"

Yahwe huipima mioyo

"Yahwe hufanya uamuzi kwenye mawazo ya mtu"